iqna

IQNA

Molavi Abdol-Hamid IsmaIl-Zahi
Imam wa Ahlul Sunna mjini Zahedan, Iran
TEHRAN (IQNA) - Imam wa Ahul Sunna katika mji wa Zahedan, kusini mashariki mwa Iran ameashiria kuenea virusi vya Corona na kusema Mtume Muhammad SAW alitoa nasaha kuhusu namna ya kukabiliana na magonjwa ambukizi ya tauni na kipindupindu.
Habari ID: 3472498    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/23